
Mwanamuziki Ras Six wa bendi ya “TUNAWEZA BAND”akiwa na tunzo ya mshindi wa pili wa wimbo wa amani katika tamasha la SAUTI ZA BUSARA lililomalizika visiwani Zanzibar mwaka huu likiwa na kauli mbiu ya “together as one” AMANI NDIO MPANGO MZIMA.Tamasha la Sauti za busara ni tamasha la kimataifa linalofanyika kila mwaka likishililisha wanamuziki wa Afrika wanaofanya muziki wao live,na zaidi ni muziki wenye ala za kiafrika.
No comments:
Post a Comment